Header Ads

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

PICHA KUTOKA UWANJA WA UHURU::MAGUFULI AKIAPISHWA ANGALIA HAPA


    BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI   
 Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli akiapa mbelea ya jaji mkuu wa Tanzania kiapo cha kuwa Rais wa Tanzania. Dk Magufuli amekula kiapo hii leo baada ya kushinda uchaguzi mkuu uliofanyika nchini kote Oktoba 25, 2015 akigombea kupitia Chama cha Mapinduzi CCM. 
 
  Rais Dk.John Pombe Magufuli akila kiapo.
 Rais Dk. John Magufuli akisaini hati ya kiapo mbele ya Jaji Mkuu, Mohamed Othman Chande.
 Jaji Mkuu, Mohamed Othman Chande akisaini hati ya kiapo ya Rais Dk. John Magufuli.
 Jaji Mkuu, Mohamed Othman Chande akimkabidhi hati za kiapo Rais Dk. John Magufuli.
 Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli akipokea heshima ya kupigiwa wimbo wa taifa baada ya kuapishwa.

  
 Rais Dk. John Magufuli akikagua kwaride lake la kwanza akiwa Rais wa Tanzania.

No comments: