AJALI MBAYA YA BASI USIKU HUU....ABILIA ZAIDI YA 30 WAHOFIWA KUFARIKI LINATOKEA DAR KWENDA MWANZA
Ajali mbaya Shelui, Singida: Basi la Takbir likitokea Dar kwenda Mwanza lasababisha vifo vingi
Kuna ajali imetokea usiku, ikihusisha basi la Takbir likitoka Dar kwenda Mwanza.Inasemekana Waliokufa ni wengi ..upande wa dereva wamebaki wawili tu maana kwa haraka maiti nyingi zimeripotiwa kupatikana.
Poleni Majeruhi na Poleni Wafiwa.


No comments: