Nina furaha kutimiza mwaka mmoja toka kujiunga na CHADEMA.Uamuzi ule haukuwa rahisi,lakini kwa ujasiri na mwongozo wa Mungu nilifanya hivyo. Nawahakikishia watanzania na wana UKAWA,kuwa sasa hivi NINA NGUVU NA HAMASA kubwa kuliko wakati mwengine wowote.2/2
No comments: