Madee Afunguka Kuhusu Mkanganyiko Wa Nani Anamsimamia Dogo Janja Tip Top
Msanii
Madee leo ameweka wazi mkanganyiko ambao wengi walikuwa nao kuhusu
msanii anayemsimamia Dogo Janja, mbaye pia yuko chini ya Tip Top ambayo
inamsimamia yeye Madee.
Akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Madee amesema ingawa Dogo Janja yupo chini yake, lakini iwapo kuna kazi anatakiwa kuifanya, lazima afanye mawasiliano na Babu Tale, na kufikia uamuzi kwa pamoja, tofauti na wengi wakivyofikiri kuwa yeye ndio ana uamuzi na Dogo Janja.
Madee ambaye pia alianza kwa kumtoa msanii Raymond mpaka akachukuliwa na wasafi ambako yuko sasa, amesema anajivunia mafanikio ya msanii huyo, kwani tayari yupo kwenye historia yake.

No comments: