Header Ads

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Rama Dee arudi Tanzania kumalizia album yake.



Msanii wa R&B Tanzania Rama dee ambaye kwa sasa makazi yake yapo nchini Australia amekuja nchini Tanzania kwa mara nyinge kumalizia project yake mpya.
Akizungumza kwenye Planet bongo,Rama dee amedai kwa sasa ana mpango wa kufanya album ambayo aliashaanza kuirekodi na sasa amekuja kuimalizia.
“Ni kweli niko Tanzania kwa sasa hivi na niko kumalizia project yangu,nimepanga kumalizia album yangu.Nilivyoenda Australia nilienda kurekebisha baadhi ya mambo yangu,nimerudi na energy kubwa kwa hiyo natumaini watu watu watanipa support” alisema Rama dee.

No comments: