PICHA :: MWANAMUZIKI DARASSA APATA AJALI MBAYA YA GARI KAHAMA
Mwanamuziki Darassa ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa Muziki amepata ajali akiwa na Mtayarishaji wa video Hanscana walipokuwa njiani wakirejea Dar es Salaam kutoka Kahama.



Ajali hiyo inaelezwa kuwa imetokea eneo la Ntobo barabara ya kuelekea mgodi wa Bullyanhulu, Wilaya ya Kahama mkoa wa Shinyanga.
Taarifa za awali kutoka eneo la tukio zinaeleza kuwa wamenusurika kifo.




Video ya ajali aliyopata mwanamuziki Darassa leo Kahama mkoani Shinyanga. pic.twitter.com/OMwbPaCvpt— Swahili Times (@swahilitimes) December 18, 2016

No comments: