JAJI APIGA MARUFUKU AMRI YA TRUMP KURUDISHA WAHAMIAJI MAKWAO
Sasa koti hiyo imeamuru wote waliozuiliwa kupitia amri hizo waachiwe .
Tayari kuna ripoti kutoka uwanja wa ndege wa John F Kennedy kwamba watu kadhaa wamezuiwa kuingia Marekani wakiwemo wale ambayo walikuwa wamepewa ruhusa kwenda kuishi marekani kupitia mpango wa green card.
Waandamanaji kwa upande wao waliokuwa uwanjani hao walipaaza sauti kusema 'let them in' yaana kutaka watu hao waruhisiwe kuingia.
No comments: