Header Ads

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

MUSIC AUDIO::SIKILIZA NA DOWNLOAD::MOKOMOKO MOVEMENT- MOVEMENT ZANGU

Ni kundi jipya kabisa toka mkoani Morogoro, lililokusanya wanamuziki wanaofanya mziki wa Hip Hop. Wanaitwa Mokomoko Movement na huu wimbo unaitwa Movement zangu. Producer ni Vennt Skillz toka katika studio za Kwanza Records Mjini Morogoro.. Walioimba humu ndani ni pamoja na Tea Sigwer, Gonga, Rotta, Meddy Botion, Rajlam kipila, Vennt Skillz, kwenye Chorus yupo Mash Jay na Makunga. Plz tunaomba msaada wako katika kuipush hii ngoma

No comments: