Header Ads

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

RAIS MAGUFULI AKIFURAHI NA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI CHATO ALIKOSOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amefanya ziara ya kushtukiza katika Shule ya Msingi Chato,ambapo ndipo aliposoma kuanzia darasa la kwanza hadi la saba na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo.
\

No comments: