Header Ads

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

KAMA HUJAIANGALIA HII HAPA::YUSUPH MANJI ARUDISHWA NDANI YA POLISI BAADA YA KUTAKA KUTOKA

Mfanyabiashara Yusuph Manji leo amefika kituo cha polisi kati kama alivyoahidi jana baada ya kutajwa kwenye orodha ya watu 65 na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.

Yusuph Manji alifika asubuhi kwenye kituo cha Polisi cha kati ambapo baadaye alionekana akiwa anatoka nje ya kituo  kuondoka lakini ghafla akazuiwa na Polisi na kumwambia anahitajika ndani ten.

ANGALIA VIDEO HAPA CHINI

No comments: