KUTOKA MITANDANONI:: SOMA TWEETS HAPA:::WAZIRI NAPE AMESEMA RIPOTI ALIYOIPOKEA ATAIWASILISHA KWENYE MAMLAKA ZA JUU ILI WAO WAONE NI HATUA GANI WANAWEZA KUCHUKUA KWA RC MAKONDA.
#BURUDANI Mkubwa Fella amkingia kifua Mh. Temba >> https://t.co/qeVFAtMw4D pic.twitter.com/BwPK9EqHOV— East Africa Radio (@earadiofm) March 22, 2017
Mbwana Samatta baada ya kuungana na wenzake katika timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars jioni ya leo uwanja wa Taifa @samatta77 pic.twitter.com/8ZEiP79SnH— millard ayo (@millardayo) March 22, 2017
16. Waziri Nape amesema ripoti aliyoipokea ataiwasilisha kwenye mamlaka za juu ili wao waone ni hatua gani wanaweza kuchukua kwa RC Makonda. pic.twitter.com/jyUcjfsOst— Swahili Times (@swahilitimes) March 22, 2017
Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli amefanya mazungumzo na Katibu wa Chama cha CPC, Guo Jinlong toka China, imesainiwa mikataba ya ushirikiano. pic.twitter.com/JsbB67hBJd— millard ayo (@millardayo) March 22, 2017
#MICHEZO Kocha wa England asimulia anavyotamani mafanikio ya Ujerumani. >> https://t.co/G0dMI71yZf pic.twitter.com/0J6wGmLak5— East Africa Radio (@earadiofm) March 22, 2017
#BURUDANI Mkubwa Fella amkingia kifua Mh. Temba >> https://t.co/qeVFAtMw4D pic.twitter.com/BwPK9EqHOV— East Africa Radio (@earadiofm) March 22, 2017
>>Walichoamua Wahariri nchini baada ya uvamizi wa kituo cha televisheni cha Clouds Media uliofanywa na Mkuu wa... https://t.co/qFjCgbZMIh
— Mwananchi Newspapers (@MwananchiNews) March 22, 2017
Watu nane wamekufa na wengine 18 wakijeruhiwa baada ya kutokea mlipuko wa bomu katika kambi ya wakimbizi iliyopo mji wa Maiduguri, Nigeria. pic.twitter.com/W7a5EP1hpH
— MO Dewji Blog (@DewjiBlog) March 22, 2017
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yakagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la tatu la abiria Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (JNIA). pic.twitter.com/0OSxnFmKZT— Swahili Times (@swahilitimes) March 22, 2017

No comments: