KUTOKA MITANDAONI:: SOMA TWEETS HAPA:: NYINGI ZAIDI JUU YA UTENGUZI WA NAPE
Wanasambaza nimekamatwa! Niko njiani nakwenda Protea, niko salama nimetoka Arusha na ndege mchana huu! Nashauri waache UONGO, WATULIE!— Nape Moses Nnauye (@Nnauye_Nape) March 23, 2017
Tukutane saa nane kamili Protea Hotel karibu na St. Peter ntakutana na Wanahabari. Karibuni sana!— Nape Moses Nnauye (@Nnauye_Nape) March 23, 2017
Ndugu zangu naomba TUTULIE! LEO mchana nitakutana na Wanahabari na tutalizungumza hili. Nitawaambia saa na mahali, kwasasa naomba TUTULIE!— Nape Moses Nnauye (@Nnauye_Nape) March 23, 2017
Alikataza BUNGE LIVE kwa sababu alijua madhaifu yake..ILA YEYE kujirusha live na kumezesha RAIA Kamba ni RUKSA! Hakuna marefu yasiyo na ncha https://t.co/uT18NY4xBi— Halima James Mdee (@halimamdee) March 23, 2017
BREAKING NEWS: Rais Magufuli amemteua Dk. Harrison Mwakyembe kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pic.twitter.com/OKNRKk7oBl— East Africa TV (@eastafricatv) March 23, 2017
GWAJIMA STATEMENT: Bishop Josephat Gwajima says he is the reason behind the sacking of Nape Nnauye. pic.twitter.com/a89rEocwR3— The Citizen Tanzania (@TheCitizenTZ) March 23, 2017
You will be remembered, Good luck @Nnauye_Nape— Tundu Antiphas Lissu (@TunduLissu) March 23, 2017
Rais wa TLS, Tundu Lissu ashangazwa na Rais Magufuli kuteua Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania wakati alijua tarehe ya kustaafu Jaji Mkuu Chande. pic.twitter.com/ILfzFeCcg4— Swahili Times (@swahilitimes) March 23, 2017
Nape nishujaa na mtetezi Wa haki ni wakumpingeza hakutetea rushwa vyeti feki na unyang'anyi— ester amos bulaya (@esteramosbulaya) March 23, 2017
Nchi hiii jamani wasione mtu kang'ara.. sasa hapa yule mtoto mwenye kipaji cha kutaja majina ya viongozi wote si washamchamganya sasa 😡— MASANJA (@mkandamizaji) March 23, 2017
Joke! https://t.co/7yAA2wJn17— Tundu Antiphas Lissu (@TunduLissu) March 23, 2017
Mbunge Zitto Kabwe amzungumza na Nape Nnauye baada ya taarifa ya Ikulu kuhusu kutengua Uwaziri wake leo. pic.twitter.com/ANrHdiq8Gd— millard ayo (@millardayo) March 23, 2017
No comments: