KUTOKA MITANDAONI:: SOMA TWEETS ZA LEO::RAIS MAGUFULI: MIMI NIKO HAPA TEMPORARY, MAKAMU WA RAIS TEMPORARY AND EVERYBODY IS TEMPORARY BECAUSE EVEN THE LIFE IS SO TEMPORARY
DAR: Waziri wa Habari, Dkt Mwakyembe amesema ushahidi wa Sakata la Uvamizi wa RC Makonda Clouds Media hautoshi kutoa uamuzi kwa sasa #JFLeo— Jamii Forums (@JamiiForums) March 24, 2017
'Tumeona matumizi ya bastola ktk kumzuia Nape, CHADEMA inalaani kwa kiwango kikubwa sana, tunatoa pole kwa Nape na wanahabari'-Mnyika pic.twitter.com/Jd9L8NfWXR— millard ayo (@millardayo) March 24, 2017
Rais Magufuli: Mimi niko hapa temporary, Makamu wa Rais temporary and everybody is temporary because even the life is so temporary #JFLeo— Jamii Forums (@JamiiForums) March 24, 2017
'Jana mitandaoni kulikuwa na taarifa kuwa Mwakyembe hatakuja kuapa, mwingine akasema Kinana atazungumza kesho wakati nimemtuma India'-JPM pic.twitter.com/Qh4osV1swd— millard ayo (@millardayo) March 24, 2017
Rais Magufuli: Hata kasomeni magazeti ya leo, heading ni picha za mtu aliyefanya kosa 1 kana kwamba kitendo kimefanywa na Serikali #JFLeo— Jamii Forums (@JamiiForums) March 24, 2017
Mh Raisi nina ushauri "Zikija mbio za mwenge naomba tusihangaike tumpe tu Harmorapa the legend"— Idris Sultan (@IdrisSultan) March 24, 2017
Mnahangaikia nini KUNICHAFUA?? Hizi tweets zinazosambazwa za maneno yasiyo na Busara sio zangu, nilishasema jana nikamaliza. Nitawataja sasa pic.twitter.com/31iCogzUao— Nape Moses Nnauye (@Nnauye_Nape) March 24, 2017
Wanasayansi wagundua kutengeza damu https://t.co/4S5LkvUAQB— bbcswahili (@bbcswahili) March 24, 2017
Mbunge @LazaroNyalandu amesema ataliomba Bunge kuchukua hatua dhidi ya afisa aliyemtisha Mbunge @Nnauye_Nape kwa silaha. pic.twitter.com/RZptTPU3XB— Swahili Times (@swahilitimes) March 24, 2017

No comments: