Kituo cha mafuta kilichopo eneo la Tegeta Azania jijini Dar as Salaam kineteketea kwa moto.Chanzo cha ajali hiyo ni gari lililokuwa likishusha shehena ya mafuta kushika moto.
PICHA::KITUO CHA MAFUTA TEGETA JIJINI DAR KIKTEKETEA MOTO
Reviewed by Kandoro Daddycool
on
March 07, 2017
Rating: 5
No comments: