Header Ads

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

TETESI: YASEMEKANA HUYU NDO MTANGAZAJI ALIYESIMAMISHWA KAZI CLOUDS



Kufuatia kusimamishwa kwa mfanyakazi wa clouds kwa kosa la kutangaza habari ya RCPpaul Makonda.


Tovuti hii imejaribu kuchunguza kujua jina la mfanyakazi aliyesimamishwa kazi kwani katika taarifa ya mwenyekiti wa jukwaa la wahariri hawajamtaja mtangazaji huyo.


Lakini katika kufwatilia ni mtangazaji gani hasikiki katika kipindi cha michezo tumeweza kugundua kuna watangazaji wawili hawasikiki katika kipindi hicho ni hawa


1. Alex lwambano


2. Edgar kibwana


Hawa watangazaji wawili hawasikiki hakika mmoja wapo kati ya hawa ndo atakuwa kasimamishwa

No comments: