TWEETS ZA SIKU ::NAPE NNAUYE
@Nnauye_Nape: Niliitoa CCM shimoni. Nimepigana kuisimamia CCM, halafu anakuja mpuuzi mmoja eti nisifanye press conference. #MkutanoWaNape— Kwanza TV (@kwanza_tv) March 23, 2017
"Nilisema kuna gharama ya kulipa katika kusimamia haki za watu, na mimi niko tayari kulipa gharama hiyo.@Nnauye_Nape
— ITV (@ITVTANZANIA) March 23, 2017
'Wanapokuja wapuuzi wachache, na wanadhani wanaweza kukoroga hivi mambo nataka vyombo vya ulinzi na usalama viangalie wanachokifanya'-#NAPE— millard ayo (@millardayo) March 23, 2017
Nape Nnauye: Mimi sina kinyongo na uamuzi wa Rais. Kama sikumshawishi kunichagua, hata kuniacha ni sawa tu pic.twitter.com/vtipc8zobS— Mwananchi Newspapers (@MwananchiNews) March 23, 2017
Walimzuia kufanya mkutano ndani labda watu wangeiba vikombe sijui.. Hii nchi bana, kawatumikie wananchi wako kaka @Nnauye_Nape— DJ CHOKA (@ChokaDJ) March 23, 2017
Nape Nnauye: Tudumishe amani na upendo ktk nchi yetu. Mimi ni mdogo kuliko nchi! #JFLeo pic.twitter.com/pFdaWim6gb— Jamii Forums (@JamiiForums) March 23, 2017

No comments: