GWAJIMA ATANGAZA VITA NA DIAMONDI NA HIKI NDICHO ALICHO POST
Kufuatia wimbo mpya wa diamond platnumz unaojulikana kwa jina la “ACHA NIKAE KIMYA” kumzungumzia askofu wa kanisa la ufufuo na uzima ASKOFU GWAJIMA.
askofu huyo ameonyesha kuchukizwa na jambo hilo na kupost maneno haya kwenye ukurasa wake wa instagram
“Aliyeniweka kwenye wimbo kwa lengo la kupotosha haki ili kusapoti vyeti feki jiandae ALMASI ITAGEUKA MAJI KESHO”
A post shared by Bishop Josephat Gwajima PhD(@bishopgwajima) on

No comments: