HomeHABARI KITAIFAJPMHABARI PICHA::RAIS MAGUFULI AWASILI MKOANI KILIMANJARO KWA ZIARA YA SIKU TATU ....PIA ATAKUWA MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA MAY MOSI
HABARI PICHA::RAIS MAGUFULI AWASILI MKOANI KILIMANJARO KWA ZIARA YA SIKU TATU ....PIA ATAKUWA MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA MAY MOSI
Rais John Pombe Magufuli leo Aprili 29, 2017 amewasili mkoani Kilimanjaro ambapo atafanya ziara ya kikazi kwa muda wa siku tatu. Sambamba na ziara hiyo, Rais Magufuli anatarajiwa kuhudhuria sherehe za Sikukuu ya Wafanyakazi (Mei Mosi) ambapo atakuwa mgeni rasmi.
HABARI PICHA::RAIS MAGUFULI AWASILI MKOANI KILIMANJARO KWA ZIARA YA SIKU TATU ....PIA ATAKUWA MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA MAY MOSI
Reviewed by Kandoro Daddycool
on
April 29, 2017
Rating: 5
No comments: