Jana Waziri wa Habari, utamaduni, sanaa na michezo Dr. Harrison Mwakyembe alimtuhumu Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari kwa kuingia bungeni akiwa amekunywa pombe aina ya konyagi, huku akijibu tuhusa za sakata la Richmond
HABARI VIDEO::MSIKILIZE MWAKYEMBE AKIONGELEA SAKATA LA RICHMOND, HUKU AKIMTUHUMU NASSARI KUINGIA NA KONYAGI BUNGENI
Reviewed by Kandoro Daddycool
on
April 21, 2017
Rating: 5
No comments: