SOMA MAMBO MUHIMU ALIYOONGEA RAIS JOHN MAGUFULI KWENYE SHEREHE ZA MEI MOSI MKOANI KILIMANJARO LEO
Serikali yatakiwa kudhibiti mfumuko wa bei
Vyama vya afanyakazi vipo kisheria
Kuendelea kutoa mikopo ya elimu ya juu
Kufufua viwanda vilivyokufa na kutelekezwa
Mifuko ya hifadhi yapongezwa
Kutoa ajira mpya 52,000
Kudhibiti wafanyakazi hewa na wenye vyeti feki
Watumishi 6,632 wagundulikwa kuwa na vyeti feki vya kugushi
Watumishi 11,596 washindwa kuwsilisha vyeti vya elimu
Wafanyakazi hewa
watakiwa kujiondoa wenyewe
Serikali itaongeza mshahara (increment)mwaka huu wa fedha na kupandisha madaraja kwa wale wote
wanaostahili
Pesa za wastaafu ziko za kutosha

No comments: