VIDEO MPANGAJI AMCHOMA KISU MPANGAJI MWENZAKE KISA KIZIMA HIKI HAPA
Inadaiwa kuwa mpangaji huyo alikuwa kwa masharti kwa wapangaji wenzake akiwaambia kuwa hataki mazoea na mtu na kuwaonya kuwa hata familia yake pia wasiizoee.
Kisa cha kumchoma kisu mpangaji mwenzake ni kwa sababu ya ndala za mpangaji mwingine kuvaliwa na mgeni wake hivyo kuzua vurugu zilizopelekea wawili hao kuzozana

No comments: