Header Ads

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

ANGALIA PICHA ZA WAYNE ROONEY AKIWA KWENYE MAZOEZI NA KIKOSI CHA EVERTON KWA AJILI MAANDALIZI YA MPAMBAMBANO NA GOR MAHIA



Hizi picha za Wayne Rooney akiwa na klabu yake ya Everton nchini Tanzania wakifanya mazoezi kwaajili ya mechi yao na timu kutoka Kenya ‘Gor Mahia’.

Mpaka sasa wachezaji wa Everton wameonekana kuwa na furaha kwa mapokezi waliyopata toka wafike Tanzania.




No comments: