WAZIRI MWAKYEMBE AVUNJA BARAZA LA MICHEZO BMT
SINTOFAHAMU BMT: Waziri wa Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe atangaza kusitisha uteuzi wa Mwenyekiti, Dionis Malinzi pamoja huku sekretarieti ikipewa jukumu la kuendelea na kazi kwa kushirikiana na serikali.Kwa uamuzi huo, nini mtazamo wako kuhusiana na mustakabali wa michezo nchini?
No comments: