Header Ads

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

NAPE AKIRI VYUMA KUKAZA



Mbunge wa jimbo la Mtama kwa tiketi ya (CCM) Nape Nnauye amefunguka na kuandika jambo ambalo linawachanganya wananchi wengine wakihisi na kudhani amekubali kuwa kweli mtaani vyuma vimekaza huku wengine wakiwa na maana tofauti juu ya kauli hiyo.






Nape kupitia mtandao wake wa Instgram jana aliandika “Ni rahisi kuchukulia poa kwasababu kwako mambo yanaenda, lakini sio hata kidogo”jambo ambalo liliwafanya wananchi waanze kueleza hisia zao.




Wiki kadhaa zilizopita Mbunge wa Mtama Mhe. Nape Nnauye alisema kuwa anachukizwa sana na kitendo cha watu kutafsiri kauli zake anazozitoa kwenye mitandao ya kijamii na kuzihusisha na kumsema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Maguifuli.

No comments: