Header Ads

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

ALICHOKISEMA MBOWE BAADA YA LOWASSA KWENDA IKULU




Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kwa jinsi utawala wa awamu ya tano unavyoongoza nchi, inahitaji ujasiri wa ziada kusimama na kuusifia.


Mbowe amesema hay oleo Jumanne muda mchache baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kwenda Ikulu.


Soma: VIDEO: Rais Magufuli, Lowassa wateta Ikulu leo





Amesema mwaliko wa Lowassa ni wake binafsi na wala hauhusiani na Chadema na hata kile alichokizungumza cha kumsifia Rais Magufuli ni mawazo yake binafsi.


Soma: Lema aanza kumkosoa Lowassa

No comments: