Header Ads

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

ANGALIA VIDEOWALICHOKISEMA LOWASSA, MEMBE MSIBANI KWA GWAJIMA

WANASIASA nguli nchini, Edward Lowassa na Bernad Membe, kwa nyakati tofauti wametoa maneno ya faraja kwa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dk. Josephat Mathias Gwajima, baada ya kufiwa na mama yake mzazi, Bi. Ruth Paulo Gwajima ambaye aliagwa na kuzikwa leo Salasala nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

No comments: