Rais Dkt. John Magufuli leo Januari 17, 2018 amepiga marufuku aina yoyote ya michango katika shule za Serikali za msingi na Sekondari na kuwaagiza waziri Suleiman Jaffo na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako kusimamia hilo.
SIKILIZA HAPA CHINI
MSIKILIZA RAIS MAGUFULI AKIPIGA MARUFUKU MICHANGO SHULENI
Reviewed by Kandoro Daddycool
on
January 17, 2018
Rating: 5
No comments: