NABII TITO AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO

Baada ya kumkamata na kudai huenda ni kichaa, Jeshi la Polisi mkoani Dodoma leo limemfikisha mahakamani Onesmo Machibya maarufu kama Nabii Tito. Haijafahamika kosa analoshtakiwa nalo.

Soma yaliyoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma katika magazeti ya leo upate habari za kitaifa,kimataifa,burudani, , michezo na udaku.....
No comments: