NABII TITO AJARIBU KUJIUA AKIWA CHINI YA ULINZI WA POLISI, ASHONWA NYUZI 25
Siku mbili baada ya kukamatwa na polisi kwa mahojiano kwa Tito Machibya, maarufu Nabii Tito, anadaiwa kujaribu kujiua kwa kujikata na wembe tumboni na kushonwa nyuzi 25. Nabii Tito alikamatwa na polisi mkoani Dodoma kwa kosa la kufundisha mafundisho yaliyo kinyume na dini kwa kuhamasisha watu kunywa pombe kwani si dhambi na kuoa wafanyakazi wao wa ndani ambapo hata hivyo, jeshi hilo lilisema nabii huyo ana matatizo na akili yaliyothibitishwa na daktari kati aHospitali ya vicha ya Milembe mkoani Dodoma. Inadaiwa kuwa, leo polisi waliambatana na nabii huyo nyumbani kwake Ng’ong�

No comments: