POLISI DODOMA WASEMA NABII ANAYEKUNYWA POMBE ANA TATIZO LA AKILI
Akizungumza na waandishi wa habari leo Januari 23, mwaka 2018 baada ya kumkamata nabii huyo, Muroto amesema baada ya kumkamata leo wataendelea kumshikilia kwa ajili ya usalama wake kwa kuwa anajenga chuki dhidi ya dini za watu wengine wenye imani tofauti.
Amebainisha kuwa alipofanyiwa uchunguzi na daktari aliyemtaja kwa jina moja la Philipo alibaini kuwa nabii huyo ana tatizo hilo.
Nabii huyo amekuwa akionekana mitaani akihubiri huku akiwa anakunywa pombe.
mwananchi

No comments: