Header Ads

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

AY AFUNGA NDOA JIJINI DAR

MSANII wa Bongo Fleva, Ambwene Yessayah ‘AY ‘ amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi, Remy jana  katika ufukwe wa bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam.

Ambwene Yessayah ‘AY ‘ (katikati) akiwa na mkewe (wa pili kushoto) kabla ya kufunga ndoa jana katika  ufukwe wa bahari ya Hindi.

AY akiwa na Mwana FA kabla ya kufunga ndoa.

No comments: