Header Ads

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

DALADALA YAGONGA MAGARI MAWILI TEMEKE – VIDEO

AJALI mbaya ya gari imetokea jana Machi 1, 2018, maeneo ya Temeke, baada ya basi ya abiria (Daladala)aina ya Nissan, kugonga magari mawili yaliyokuwa yameegeshwa kando ya barabara ya kuelekea katika Soko la Stereo wakati mvua zikinyesha.
Tutumie video ya tukio lolote ambalo limetokea hapo ulipo kupitia WhatsApp 0753 715 779 tutakulipa mkwanja papo hapo.

VIDEO: SHUHUDIA AJALI HIYO

No comments: