Header Ads

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

MWANAFUNZI CBE! AUAWA KINYAMA, ASUKUMWA GHOROFANI, CHANZO KINASHANGAZA

WAKATI ripoti ya uchunguzi wa kipolisi juu ya mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Taifa cha usafirishaji cha (NIT), Akwilina Bafta Akwilini (22), ikizua gomzo kila kona kufuatia siku 14 za kuchunguza kutimia leo, tukio lingine la mauaji ya kutisha dhidi ya denti mwingine wa chuo kikuu limeshtua wengi.

Wakati Akwilina yeye aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwenye daladala maeneo ya Mkwajuni- Kinondoni jijini Dar, Februari 16, mwaka huu, Mwanafunzi Shija Daudi Kasuku (20) wa chuo cha kikuu cha Elimu ya Biashara  (CBE), Tawi la Dar, alidaiwa kuuawa kwa kusukumwa kutoka ghorofa ya tatu hadi chini.

ANGALIA VIDEO HAPA

No comments: