CWT YAPANGA KUTANGAZA MGOGORO NA SERIKALI
Akizungumza leo, Rais wa CWT, Gratian Mukoba amesema uamuzi huo umefikiwa katika kikao cha baraza la taifa la chama hicho kilichofanyika mkoani Morogoro.
Amesema kati ya fedha hizo Sh 300 bilioni ni stahili zao za kupandishwa madaraja wakati Sh 480 ni mafao ya walimu wastaafu.
Amesema Serikali imekuwa ikilipa madai ya walimu taratibu kiasi kwamba yanazidi kuongezeka.
"Kwa kuwa Serikali inazidi kulimbikiza madai ya walimu tunaona zipo dalili za kuzidiwa na madeni haya na hivyo kushindwa kuwalipa walimu.”
MWANANCHI

No comments: