Header Ads

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

ANGALIA VIDEO::NAPE AKIDHIBITIWA NA POLISI ARUDI NDANI YA GARI BAADA YA MKUTANO WAKE KUPIGWA MARUFUKU

Mtazame hapo chini Mbunge Nape akiamriwa kurudi ndani ya gari mara tu alipofika katika Hoteli ya Protea kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari.

Rais Magufuli leo ametengua uteuzi wa Nape na Kumteua Mwakyembe kuchukua nafasi hiyo

No comments: