Header Ads

Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

ANGALIA VIDEO::NAPE NNAUYE AKIONGEA KWA UCHUNGU BAADA YA MKUTANO WAKE KUZUIWA NA KISHA KUTISHWA KWA BUNDUKI

Aliyekuwa Waziri wa Habari,  Nape Nnauye amezungumza na Waandishi wa habari akiwa juu ya gari lake leo maeneo ya St. Peter Osterbay Dar es salaam  ikiwa ni saa chache baada ya taarifa kutoka Ikulu kutangaza kwamba uteuzi wake umetenguliwa.

Hali hiyo imetokana na Jeshi la Polisi kuuzuia mkutano huo ambapo RPC Kinondoni alifunga barabara kwa gari huku Nape akitishwa kwa Bunduki.

No comments: