KUTOKA MTANDAONI:: SOMA TWEETS ZA LEO::BAADHI YA WALIOTEULIWA NA CCM KUGOMBEA UBUNGE EALA;
Taarifa ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili, na Madaraka baada ya kumhoji Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. pic.twitter.com/pCFV5IRfIl— Swahili Times (@swahilitimes) March 29, 2017
Basi atakuwa askari wa kikosi maalum BINAFSI cha MTU ?ULE ujasiri sio wa kawaida!Lazima kuna mzito nyuma! pic.twitter.com/Jk6zGvXkXC— Halima James Mdee (@halimamdee) March 29, 2017
Baadhi ya walioteuliwa na CCM kugombea ubunge EALA;— Swahili Times (@swahilitimes) March 29, 2017
5. Adamu Kimbisa
6. Makongoro Nyerere
7. Mariam Yahya
8. Abdallah Makame (2/2) pic.twitter.com/sVSpiZMf2z
Taarifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuhusu mchakato wa kuchagua wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki. pic.twitter.com/QVt7gR1RJf— Swahili Times (@swahilitimes) March 29, 2017
Leo Jumatano 29/03/2017 tunahitimisha ziara Tanga na kufanya Uchaguzi https://t.co/CEdn2Dz2dS pic.twitter.com/vJNJMQNR4d— Freeman Mbowe (@freemanmbowetz) March 29, 2017
Philemon Ndesamburo apokelewa kwa bashasha na nderemo mkoa wa Tanga. |#Mwananchi |#MalkiaWaNguvu pic.twitter.com/Z0dPIB1WFQ— CloudsMediaLive (@CloudsMediaLive) March 29, 2017
Taarifa ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili, na Madaraka baada ya kumhoji Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.mjini Dodoma Leo pic.twitter.com/m2mLnum75R— Haki Ngowi (@Hakingowi) March 29, 2017
Cristiano Ronaldo akiwa katika ndege binafsi kuelekea Madeira hapa aliposikia pilot wake akisema wanakaribia kutua Cristiano Ronaldo Airport pic.twitter.com/uscDGnaDro— millard ayo (@millardayo) March 29, 2017
JPM ateua kamati ya Wataalamu kubaini kiwango cha madini kilichomo ktk makontena ya mchanga yaliyokamatwa Tanzania. #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/oTYadB5FqU— millard ayo (@millardayo) March 29, 2017

No comments: