MAKONDA AHOJIWA NA KAMATI YA MADARAKA YA BUNGE
Taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Bunge imeeleza kuwa Makonda anahojiwa kutokana na matashi aliyoyatoa Februari mwaka huu jijini Dar es Salaam yanayodaiwa kulidharau bunge.
Makonda aliitwa baada ya Bunge kuazimia kumhoji kiongozi huyo, mnamo Februari 8 mwaka huu.
MWANANCHI

No comments: