SHULE 10 ZA MWISHO KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA 6
Ni kilio na kicheko. Hivyo ndivyo tutakavyoweza kusema, kwani matokeo ya kidato cha sita, yaliyotangazwa leo Jumamosi, Julai 15 yamezitaja shule kumi zilizofanya vibaya na kushika mkia kitaifa.
Shule hizo ni
Shule hizo ni
Kiembesamaki Unguja,
Hagafilo (Njombe),
Chasasa (Pemba),
Mwenyeheri Anuarite (Dar es Salaam)
Ben Bella (Unguja).
Meta (Mbeya),
Meta (Mbeya),
Mlima Mbeya(Mbeya)
Al-Ihsan Girls (Unguja
Al-Ihsan Girls (Unguja
na St Vicent(Tabora).

No comments: