KUTOKA MITANDAONI::SOMA TWEETS MBALIMBALI HAPA:: NAY AITWA IKULU
'Mimi ni mwanamuziki sio mwanasiasa na sijawahi kufikiria kuwa mwanasiasa, kampeni ziliisha na siku ya mwisho nilimpost JPM'-Nay wa Mitego pic.twitter.com/t2ujwhp5mv— millard ayo (@millardayo) March 27, 2017
Matumizi ya nguvu sana hayalipi! Kurekebisha kwa upendo hulipa! Hongera Rais, Hongera Mwakyembe kwa uamuzi wa Busara dhidi ya muziki wa Ney! pic.twitter.com/e1jYGXgmQJ— Nape Moses Nnauye (@Nnauye_Nape) March 27, 2017
Mmenitoa machozi! pic.twitter.com/4A4mclKjDx— Nape Moses Nnauye (@Nnauye_Nape) March 25, 2017
Unataka kufungua mlango; unang'ang'ana kuvuta tu, hebu jaribu pia kusukuma, ama ku-slide! Ndiyo maana nasisitiza #fikiritofauti #NjeYaBox— Dr. Kigwangalla, H. (@HKigwangalla) March 27, 2017
'Mimi ni mwanamuziki sio mwanasiasa na sijawahi kufikiria kuwa mwanasiasa, kampeni ziliisha na siku ya mwisho nilimpost JPM'-Nay wa Mitego pic.twitter.com/t2ujwhp5mv— millard ayo (@millardayo) March 27, 2017
'Huwa naangalia mashabiki zangu duniani wanataka nini, kipi ninachoweza kuwapa wakakifurahia, muziki wangu hauna mipaka'-Nay wa Mitego pic.twitter.com/6Apzx9ac5t— millard ayo (@millardayo) March 27, 2017
NEY AITWA IKULU: Msanii wa muziki Emmanuel Elibariki maarufu kama Ney wa Mitego ameitwa Ikulu kwa ajili ya... https://t.co/21AAtRw1tg— Mwananchi Newspapers (@MwananchiNews) March 27, 2017
Ili uweze kutujua vyema kama hujatujua bado...Mshauri MKULU BUNGE HILI LA BAJETI liwe Live!! https://t.co/8OAKjjJtla— Halima James Mdee (@halimamdee) March 27, 2017
BAKWATA yasema haina uhusiano na watu wanaosemekana ni Masheikh walioenda Kanisani kwa Askofu Gwajima jana Jumapili. pic.twitter.com/ATMzsFUjR2— Swahili Times (@swahilitimes) March 27, 2017
Rais amuagiza PM Majaliwa kuitisha kikao na CAG, Mawaziri, Makatibu Wakuu, Gavana, taasisi za umma aambiwe hali ya hesabu katika taasisi zao pic.twitter.com/fonnHRrlL8— Swahili Times (@swahilitimes) March 27, 2017

No comments: