REA KUVIPELEKEA UMEME VIJIJI 7,780
Mkurugenzi Mkuu wa Rea, Boniface Nyamo-Hanga amewaambia waandishi wa habari leo kuwa mradi huo utatekelezwa katika kipindi cha miaka mkutano kuanzia mwaka huu wa fedha 2916/17.
Kati ya vijiji hivyo, 7,697 vitapelekewa umeme uliounganishwa katika gridi ya Taifa na 176 vitanganishwa nje ya gridi kutokana na nishati jadidifu.
Hadi kufikia sasa jumla ya vijiji 4,395 kati ya vijiji 12,268 ambayo ni sawa na asilimia 36 vimeunganishwa ya umeme.
MWANANCHI
No comments: