MAMBOSASA AONGOZA MSAFARA GARI LILILOBEBA MWILI WA AKWILINA
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa anaongoza msafara wa magari, likiwemo lililobeba mwili wa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kuelekea katika viwanja vya chuo hicho kwa ajili ya kuagwa.
Jeneza lenye mwili wa mwanafunzi huo liko katika gari maalumu la kubebea maiti.
Soma: VIDEO- Ndugu wa Akwilina wachangisha fedha za usafiri
Jeneza lenye mwili wa mwanafunzi huo liko katika gari maalumu la kubebea maiti.
Soma: VIDEO- Ndugu wa Akwilina wachangisha fedha za usafiri
No comments: